Job 3:17-19


17 aHuko waovu huacha kusumbua
na huko waliochoka hupumzika.

18 bWafungwa nao hufurahia utulivu wao,
hawasikii tena sauti ya kukemea ya kiongozi wa watumwa.

19 cWadogo na wakubwa wamo humo,
na mtumwa ameachiwa huru kutoka kwa bwana wake.

Copyright information for SwhKC